Kwa mujibu wa Roberto Martinez (Meneja wa timu ya taifa ya Ubelgiji )
amesema nyota wa zamani wa klabu mbili kubwa za Arsenal na Barcelona,
Thierry, ambaye aling’aa sana akicheza timu ya taifa ya ufaransa kwamba
atakuwa mmoja wa wasaidizi wake Henry alikuwa mmoja wa wakufunzi wa timu
ya vijana Arsenal lakini akajiuzulu Julai baada ya meneja Arsene Wenger
kumwambia kwamba hawezi kufanya kazi hiyo akiwa bado anaendelea kuwa
mchanganuzi wa soka kwenye runinga.






0 comments:
Post a Comment