Subscribe For Free Updates!

We'll not spam mate! We promise.

Friday, August 26, 2016

Msambuliaji wa Tanzania Mbwana Samatta aisaidia timu yake ya GENK kufuzu ligi ya Europa


Ni baada ya klabu yake ya KRC Genk ya Ubelgiji kupata ushindi wa jumla ya mabao 4-2 dhidi ya wapinzani wao Lokomotiva Zagreb ya Croatia. Mechi yao ya kwanza klabu hzo mbili zilitoka kwa sare ya mabao 2-2, na mechi iliyochezwa Alhamisi  timu ya Lokomotiva Zagreb ya Croatia walilala kwa mabao 2 kwa bila . Ikiwa mshambuliaji mbwana Samatta akiwa wa kwanza kufumania nyavu dakika za mwanzo kabisa ya mchezona baola pili likifungwa na mwenzake Leon Bailey dakika chache kutoka mapumziko

Please Give Us Your 1 Minute In Sharing This Post!
SOCIALIZE IT →
FOLLOW US →
SHARE IT →
Powered By: BloggerYard.Com

0 comments:

Post a Comment