Ni baada ya klabu yake ya KRC Genk ya Ubelgiji kupata ushindi wa jumla ya mabao 4-2 dhidi ya wapinzani wao Lokomotiva Zagreb ya Croatia. Mechi yao ya kwanza klabu hzo mbili zilitoka kwa sare ya mabao 2-2, na mechi iliyochezwa Alhamisi timu ya Lokomotiva Zagreb ya Croatia walilala kwa mabao 2 kwa bila . Ikiwa mshambuliaji mbwana Samatta akiwa wa kwanza kufumania nyavu dakika za mwanzo kabisa ya mchezona baola pili likifungwa na mwenzake Leon Bailey dakika chache kutoka mapumziko